Andika Barua, CV na Notes kwa Muonekano wa Kitaalamu
Faulink Editor imeundwa kuwasaidia watu wanaotumia simu kuandika document kwa mpangilio sahihi. Tengeneza barua rasmi, CV na notes, kisha pakua Word au PDF bila kuharibu structure.
Mifano ya Document (Preview)
Muonekano safi unaofanana na “official document”.
Barua Rasmi
Anuani, mwandikiwa, kichwa, mwili wa barua na sahihi.
CV ya Kitaalam
Muundo safi, readable na tayari kwa kutuma au print.
Notes
Headings, list, spacing na muundo wa maelezo kwa urahisi.
Features Zinazoeleweka na Zenye Matokeo
Interface ni rahisi kutumia, lakini output yake ni ya kiwango cha kitaalam.
Block-based Editing
Ongeza, futa na pangilia sehemu za document bila kuharibu mpangilio.
Download Word & PDF
Pakua document bila kuharibu structure, tayari kwa kutuma.
Mobile Friendly
Imeboreshwa kwa simu: kuandika kwa urahisi, preview safi.
Security
Sessions zilizoimarishwa, CSRF protection na documents private.
Editing Tools
Bold/Italic/List/Alignment/Spacing — muonekano wa kitaalam.
Save & Continue
Kazi zako zina-save, unaweza kuendelea muda wowote bila kupoteza.
Jinsi Inavyofanya Kazi
Hatua 4 tu — kisha unapata document safi.
Fungua akaunti yako ndani ya dakika chache.
Letter, CV au Notes kulingana na lengo lako.
Ongeza blocks, spacing, alignment na formatting.
Download Word au Save PDF ukiwa na mpangilio sahihi.
Mawasiliano
Una swali au unahitaji msaada? Wasiliana nasi WhatsApp moja kwa moja.
Namba: 0693 118 509